Serikali imetoa shilingi milioni 500 kuboresha Kituo cha afya Kalembo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.Kituo hicho kilifunguliwa mwaka 2003 na Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ally Shein.
Kanisa la Lituhi limejengwa katika kijiji cha Lituhi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.