Mkoa wa Ruvuma unatekeleza falsafa ya magauni manne iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kukabiliana na mimba za utotoni kwa wanafunzi
Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Paulo Lugongo ametoa rai kwa Baraza jipya la madiwani kuhakikisha wanasimamia mapato ya Halmashauri na kubuni vyanzo vipya vya mapato ili mapato yaweze kuongezeka
Serikali ya Awamu ya Tano imetoa kisi cha shilingi milioni 798 kwa ajili ya ukarabati wa sekondari kongwe ya Tunduru mkoani Ruvuma iliyoanzishwa mwaka 1978
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.