• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BANDARI ya Mbambabay kukamilika Agosti mwaka huu

Imewekwa kuanzia tarehe: February 5th, 2026

Historia mpya ya uchumi inaandikwa Kusini mwa Tanzania baada ya Serikali kuthibitisha kuwa ujenzi wa Bandari ya Mbambabay yenye thamani ya shilingi bilioni 80 umefikia asilimia 47, hatua inayoiweka Nyasa kwenye mstari wa kuwa kitovu kipya cha biashara ya kikanda.Akikagua mradi huo, hivi karibuni Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa alisema bandari hiyo ni ya kimkakati kwa Taifa na imebuniwa kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi kwa zaidi ya miaka 50. Tayari nguzo 81 kati ya 140 zimewekwa, huku kukamilika kwake kukitarajiwa Agosti 2026.Mradi huo unatarajiwa kufungua fursa za ajira, kupunguza gharama za usafirishaji na kuunganisha masoko ya Malawi, Msumbiji na ukanda wa SADC. Bandari itakuwa na uwezo wa kuhudumia meli mbili za tani 5,000 pamoja na miundombinu ya kisasa ya kuhifadhi na kushughulikia mizigo.Wakazi wanasema mradi huo utabadilisha maisha yao. “Itatuwezesha kuuza samaki na mazao nje ya nchi,” anasema mvuvi Martin Challe, huku mkulima Agatha Samata akitabiri ongezeko la wawekezaji na bei bora za mazao.Mbambabay inaonekana kuwa mlango mpya wa biashara na alama ya mabadiliko makubwa ya Ruvuma.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA ardhi Ruvuma wakabidhiwa vitendeakazi

    February 09, 2026
  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88