Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ukumbi wa Songea Club uliopo Songea Mjini mara baada ya kukarabatiwa. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bi. Mary Makondo, na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Odo Mwisho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.