Shule ya sekondari ya wasichana iliyojengwa wilayani Namtumbo mkoa wa Ruvuma iliyosajiriwa kwa jina la sekondari ya wasichana ya Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa sasa ndiyo sekondari yenye miundombinu bora Zaidi katika Mkoa wa Ruvuma yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000. wanaosoma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan hadi sasa imetoa Zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza mradi huu ambapo tayari wanafunzi wa kidato cha kwanza na Tano wanasoma katika shule hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.