Nyumba 9 zimeanguka mtaa wa Mitendewawa, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali, familia zikibaki bila makazi. Ni tukio la pili ndani ya mwaka mmoja; maafa kama hayo yalitokea Desemba 2024.
Mkuu wa wilaya ya Songea Mheshimiwa , Kapenjama Ndile, ametembelea eneo, akatoa pole kwa waathirika na na kusisitiza kuhusu ujenzi wa nyumba imara zinazozingatia viwango vya ujenzi ili kupunguza athari za majanga.
#Songea #Ruvuma #Maafa #UjenziImara
#ClimateChange #HabariZaLeo #Mwananchi #TanzaniaUpdates
#Breaking #News #InstagramNews #GlobalStandards
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.