• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC Ruvuma afungua maktaba ya Mkoa

Imewekwa kuanzia tarehe: December 4th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amefungua rasmi maktaba ya mkoa wa Ruvuma iliyopo katika Manispaa ya Songea baada ya kukamilika kwa ukarabati wake uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 134.

Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Brig. Jen. Ahmed Abbas amewataka wanafunzi, walimu na jamii kwa ujumla kuitumia maktaba hiyo kama daraja la kufikia mafanikio, akiwasisitiza vijana kuitumia kukuza ubunifu, kufanya tafiti na kuibua mawazo mapya yatakayowanufaisha wao binafsi na taifa kwa ujumla.

Amesema ukarabati wa maktaba hiyo ni hatua kubwa ya kimaendeleo inayogusa kizazi cha sasa na kijacho. Kupitia Bodi ya Huduma za Maktaba, serikali imeongeza miundombinu ya kisasa ikiwemo teknolojia ya Tehama, ili kuhakikisha jamii inapunguza pengo la maarifa na kuendana na mabadiliko ya dunia ya sasa.

Vilevile mebainisha kuwa maktaba hiyo itasaidia kuongeza usawa wa fursa, kujenga uchumi wa kisasa wa viwanda na kuimarisha matumizi ya Tehama.

Brig. Jen. Ahmed Abbas amesisitiza kuwa ni wajibu wa jamii nzima ikiwemo serikali na   wadau mbalimbali kuitunza na kuitumia kikamilifu maktaba hiyo kwa kuwa ni mikakati ya serikali kuhakikisha kila Mtanzania anapata nafasi ya kusoma, kufanya utafiti, kujifunza teknolojia mpya na kutumia taarifa sahihi kwa maendeleo binafsi na ya taifa.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Maktaba Nchini, Dkt. Mboni Ruzegea, amesema wana imani kubwa kuwa baada ya kukamilika kwa ukarabati na kufunguliwa upya, idadi ya watumiaji itaongezeka maradufu, kwani maktaba hiyo sasa imeboreshwa na ina miundombinu ya kisasa inayokidhi mahitaji ya jamii

Maktaba hiyo ya mkoa wa Ruvuma ilianzishwa rasmi Juni 30, 1990 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa serikali kuhakikisha kila mkoa unakuwa na kituo cha kujisomea na kuongeza maarifa.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara November 30, 2026
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2026
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2026
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAKAMU wa Rais aitaka jamii kuombea upendo na umoja

    March 15, 2026
  • MAKAMU wa Rais aunganisha mamia katika IFTAR kubwa Songea

    March 15, 2026
  • MAKAMU wa Rais atua Ruvuma

    March 14, 2026
  • WAKUU wa Idara Nyasa wanolewa kijiditali

    March 14, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto