• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA awatahadharisha madiwani wapya

Imewekwa kuanzia tarehe: December 4th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ametoa rai nzito kwa madiwani wapya wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo akisisitiza kuwa uaminifu walioupata kutoka kwa wananchi ni heshima kubwa inayokwenda sambamba na wajibu mzito wa kusimamia maendeleo, nidhamu na uwajibikaji wa hali ya juu.

Akifungua baraza maalumu la madiwani, RC Abbas alisema changamoto kubwa inayozikabili halmashauri nyingi nchini ni upungufu wa mapato ya ndani, hali inayokwamisha miradi muhimu kutotekelezwa kwa wakati. Kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zaidi ya asilimia 35 ya hoja za ukaguzi hutokana na usimamizi hafifu wa makusanyo ya mapato katika mamlaka za serikali za mitaa.

“Ni wajibu wenu kuhakikisha vyanzo vyote vya mapato vinatambuliwa, vinawekewa mifumo na vinatumika ipasavyo bila mianya ya upotevu,” alisema RC Abbas, akiwataka madiwani kufuatilia kwa karibu uwajibikaji wa watendaji na kuhakikisha fedha za umma zinatumika katika maeneo yaliyopewa kipaumbele kama afya, elimu, maji na miundombinu, sambamba na kuzingatia Sheria ya Serikali za Mitaa Na. 7 ya mwaka 1982 na Sheria ya Fedha za Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Akizungumzia miradi ya maendeleo, kiongozi huyo alionesha masikitiko yake kuhusu tabia ya kutokuwapo kwa usimamizi wa kutosha, hali inayosababisha miradi kukamilika chini ya viwango au kugundulika kasoro wakati tayari fedha zimetumika. Alitolea mfano wa maeneo ambako wananchi hujitolea kujenga maboma ya shule au zahanati, lakini halmashauri huishia kuanzisha mradi mpya badala ya kuendeleza kile kilichokwishaanzishwa.

“Madiwani mna wajibu wa kuhakikisha ‘value for money’. Haiwezekani mradi uanze na ukamilike ninyi mpo, lakini kasoro zibainike mwisho.

Katika kipengele cha kushughulikia changamoto za wananchi, RC Abbas alitaka madiwani kuyapa kipaumbele masuala ya maji safi, miundombinu, ajira za vijana, migogoro ya ardhi, huduma za afya na malalamiko ya kodi zisizofuata taratibu. Alisisitiza kuwa baraza la madiwani linapaswa kuwa daraja kati ya serikali na wananchi, si mahali pa mabishano yasiyo na tija.

Kuhusu hali ya nchi na changamoto za maandamano yaliyoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo, alisisitiza umuhimu wa kulinda amani, kutoa elimu sahihi na kuhimiza utii wa sheria, akisema bila utulivu hakuna mradi unaoweza kutekelezwa.

“Mkoa wa Ruvuma una uwezo wa kupiga hatua kubwa. Tukisimamia mapato vizuri, tukikamilisha miradi kwa wakati na kutatua changamoto za wananchi, tutaleta mageuzi ya kweli,” alisema.

Hadi sasa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amezindua mabaraza mapya ya madiwani katika Halmashauri za Songea,Nyasa,Manispaa ya Songea na Namtumbo.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MASHIRIKA ya msalaba Mwekundu Mbinga yakabidhi visima vitano

    January 14, 2026
  • MIJUSI wakongwe zaidi Duniani wagundulika Bonde la Ruhuhu

    January 14, 2026
  • RUVUMA yatoka gizani umeme wageuka nguzo ya mapinduzi ya kiuchumi

    January 14, 2026
  • TAKWIMU sahihi kusaidia utekelezaji afue za lishe

    January 13, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto