• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RUVUMA yajipanga kukabiliana na lishe duni

Imewekwa kuanzia tarehe: September 2nd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema katika kukabiliana na hali ya lishe duni Mkoa wa Ruvuma utaanza kutekeleza mpango harakishi, shirikishi na jumuishi wa kupunguza udumavu katika maeneo yote ya Mkoa.

Akifungua kikao cha tathimini ya mkataba wa lishe kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa Mkoa wa Ruvuma, kilichofanyika katika ukumbi wa Songea Club mjini Songea, Brig. Jen. Ahmed amesema mpango huo utatekekezwa kwa miaka mitano kuanzia mwaka huu wa fedha wa 2025/26.

"Mkoa utaanza kutekeleza mpango harakishi, shirikishi na jumuishi wa kupunguza udumavu katika maeneo yetu kwa miaka mitano kuanzia mwaka huu wa fedha 2025/26 katika halmashauri zetu zote kwa kutumia rasilimali tulizonazo ili kubaini  visababishi vinavyofanya uwepo wa hali duni ya lishe," alisema Brig. Jen. Ahmed.

Hata hivyo amesema kwa kuwa visababishi vya lishe duni ndani ya mkoa vinajulikana ametoa ushauri kwa wataalam kuchukua hatua za utekelezaji wa utatuzi wa tatizo hilo huku wakiendelea na tafiti kwa hatua zaidi na matokeo chanya.

Katika hatua nyingine amesisitiza kuimarisha huduma ya upatikanaji wa chakula mashuleni kwani huduma hiyo bado haitolewi kikamilifu na shule zingine zinatoka chakula lakini idadi ya wanafumzi wanaopata chakula ni idadi ndogo.

Naye Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi Mary Makondo, amesema Ruvuma ni kati ya mikoa inayokabiliwa na changamoto ya lishe licha ya kuzalisha vyakula vya makundi mbalimbali, hivyo kwa mkakati ulioandaliwa ambao utatekelezwa kwa miaka mitano utasaidia kuondoa changamoto ya udumavu katika mkoa.

Kwa upande wake Afisa Lishe Mkoa wa Ruvuma, Joyce Kamanga, amebainisha mikakati ya kupambana na changamoto ya lishe ambayo ni halmashauri kuhakikisha zinatoa fedha za lishe kila robo mwaka, halmashauri kupitia wahudumu wa afya na maafisa lishe kuendelea kutoa Elimu ya lishe kuhusu siku 1,000 ili kupunguza tatizo la watoto wanaozaliwa na uzito pungufu au lishe duni.

Mikakati mingine ni kuhakikisha halmashauri zinatenga fedha kwa ajili ya kununua virutubishi vya kuongeza kwenye unga wa mahindi pamoja na kuwahamasisha wazazi kuchangia chakula mashuleni.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara November 30, 2026
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2026
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2026
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIMONDO vilivyobadili uso wa utalii Tanzania

    March 04, 2026
  • BANDARI ya Mbambabay kukamiilika Agosti 2026

    March 04, 2026
  • WANAWAKE wajasirimali Ruvuma waadhimisha miaka 20 ya TWCC

    March 03, 2026
  • WANAWAKE Ruvuma watakiwa kuchangamkia fursa ya Samia ardhi

    March 03, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77