• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WANANCHI Songea wanufaika na matrekta

Imewekwa kuanzia tarehe: February 3rd, 2026

Serikali ya awamu ya sita imewezesha mradi wa upatikanaji wa matrekta matano (5) kwa ajili ya kuimarisha sekta ya kilimo katika halmashauri ya Wilaya ya Songea, ikiwa ni mkakati  kutoka Serikali kuu kupitia Wizara ya Kilimo, kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa mazao, kupunguza gharama za uzalishaji na kuboresha maisha ya wakulima wadogo.


Akizungumza mara baada ya kupokea matrekta hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Bi. Elizabeth Gumbo, alisema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni miongoni mwa Halmashauri zinazotegemea kwa kiasi kikubwa kilimo kama mhimili wa uchumi wa wananchi wake, hivyo ujio wa zana hizo za kisasa za kilimo ni chachu muhimu ya maendeleo kwa wakulima.

Bi. Gumbo alieleza kuwa uwepo wa matrekta hayo utawezesha wakulima kulima kwa wakati, kuongeza ukubwa wa mashamba, kuinua uzalishaji na hatimaye kuongeza kipato cha kaya nyingi za wakulima.


Aidha, alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluh Hassan, lakin pia Waziri wa Kilimo na Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuiwezesha Halmashauri hiyo kwa zana za kisasa za kilimo, ikiwa ni sehen ya kumuinua mkulima mdogo na kuendeleza sekta ya kilimo nchini.


“Matrekta haya yatakwenda kubadili kabisa taswira ya kilimo katika Wilaya yetu, Tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo na kumfikia moja kwa moja mkulima wa kawaida,” alisema Bi. Gumbo.


Matrekta hayo yamegawanywa katika kata mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea ili kuhakikisha wakulima wengi zaidi wananufaika kulingana na mahitaji ya maeneo yao.


Katika juhudi za kushuhudia utekelezaji wa mradi huo kwa vitendo, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kilitembelea Kata ya Mpitimbi, ambayo ni miongoni mwa kata zilizonufaika na mradi huo.

Wakulima wadogo wadogo kutoka kata hiyo walieleza kufurahishwa kwao na hatua ya Serikali ya Awamu ya Sita kuwekeza katika zana za kisasa za kilimo, wakisema kuwa matumizi ya matrekta yameleta mapinduzi makubwa katika shughuli zao za kilimo ikilinganishwa na kilimo cha jembe la mkono.


Miongoni mwa wanufaika wa mradi huo ni Bi. Celina Ngonyani na Bi. Prisca Komba, wakulima kutoka Kata ya Mpitimbi, ambao walilimiwa mashamba yao kwa kutumia matrekta hayo. Wamesema kuwa gharama za kulima kwa trekta ni nafuu zaidi, huku wakiweza kulima maeneo makubwa kwa muda mfupi, jambo linaloongeza uzalishaji na kipato chao.

“Mradi huu umetusaidia sana sisi wakulima wadogo zamani tulitumia muda mwingi na nguvu nyingi kulima kwa jembe la mkono, lakini sasa trekta linatulimia haraka na kwa gharama nafuu,” alisema Bi. Celina kwa furaha.

Kwa upande wake, Bi. Prisca alimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuona na kumthamini mkulima mdogo, akisema kuwa mradi huo umeongeza ari ya kufanya kilimo cha kibiashara badala ya kilimo cha kujikimu pekee.

Akizungumza kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa zana hizo za kilimo, Mratibu wa zana za kilimo katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Bw. Mathias Ambros, alisema kuwa mkulima yeyote anayehitaji kulimiwa shamba lake anatakiwa kumuona Afisa Kilimo wa Kata husika na kuwasilisha maombi rasmi, au kuwasiliana moja kwa moja na mratibu wa zana hizo kupitia namba ya simu 0688 273 176 ili kuratibiwa huduma hiyo.

Mradi wa matrekta ni miongoni mwa vielelezo vya dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekta ya kilimo kama mhimili wa uchumi wa Taifa, sambamba na azma ya Rais Samia ya kuhakikisha wananchi, hususan wa vijijini, wananufaika moja kwa moja na miradi ya Serikali.

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wameendelea kupongeza uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maamuzi yake ya kuwekeza katika kilimo, wakisema kuwa mradi wa matrekta ni ushahidi wa falsafa ya “Kazi na Utu, Tunasonga Mbele” na dhamira ya kujenga uchumi imara unaomuinua mkulima

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA ardhi Ruvuma wakabidhiwa vitendeakazi

    February 09, 2026
  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88