Waziri wa Madini Mheshimiwa Dotto Biteko akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wamekagua mgodi wa dhahabu ulipo kijiji cha Lukarasi Wilaya ya Mbinga,pamoja na mambo mengine wamempongeza Mwekezaji Mzawa Johnson Nchimbi kwa kutoa ajira na kuzalisha dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tatu hivyo kuwezesha serkali kuingiza mapato ya zaidi ya shilingi milioni 200 kupitia kodi mbalimbali .TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=sCp5cdgK_Lg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.