ASILIMIA 15 ya samaki wa maji baridi duniani wapo Ziwa Nyasa ,ziwa Nyasa lina zaidi ya spishi 600, zikiwemo zaidi ya aina 400 za mapambo zenye rangi za kipekee.
Viumbe wengi waliomo ndani ya ziwa Nyasa hawapatikani popote duniani, wakiishi kwa kanda kulingana na usalama wa maisha yao.
Mtaalam wa uvuvi, Jonathan Ruanda, anasema biashara ya samaki hai wa mapambo kutoka ziwa Nyasa ilianza 1960 kwenda Ulaya na Marekani. Leo, soko ni kubwa Japan, Uingereza, Ujerumani na Canada .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.