Meneja wa Uwanja wa Ndege Songea Jordan Mchami amesema idadi ya abiria wanaosafiri kwa ndege ya ATCL kutoka Songea kwenda Dsm imeongeka ambapo hivi sasa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 76 kila inapofika Songea na kurudi Dsm inakuwa na abiria zaidi ya 70.
Mchami amesema ATCL inatarajia kuanzisha safari za usiku kutokana na kukamilika kuwekwa taa za kuongozea ndege wakati wa usiku na kwamba safari za ndege pia zinatarajiwa kuongezeka kuwa kila siku ili kukidhi mahitaji ya abiria ambao wanaongezeka kwa kasi kubwa
.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.