Posted on: April 20th, 2024
SERIKALI imetatua kero ya umeme katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya kufikisha huduma ya umeme katika vijiji 81 kati ya vijiji 84 vilivyopo wilayani...
Idadi ya Watu mkoa wa Ruvuma = Idadi ya watu mkoani Ruvuma kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 jumla ya watu 1,848,794 kati yao wanaume 902,298 na wanawake 946,496