MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameendelea na ziara ya kukagua miundombinu ya barabara,madaraja na makaluvati katika wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.Mndeme anatoa tahadhari kwa wananchi wote kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha mvua nyingi zinazoendelea kunyesha.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.