Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Chen Mingjian ameongoza jopo la Madaktari bingwa kumi kutoka nchini China ambao wapo mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa siku tatu ndani ya uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Kabla ya uzinduzi wa matibabu hayo Balozi alifanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ofisini kwake mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.