Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida pichani wa kwanza kushoto amefanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed wa pili kutoka kushoto.
Mazungumzo hayo ambayo yamefanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea yamelenga kuimarisha mahusiano na ushirikiano kati ya nchi ya Tanzania na Msumbiji.hususani Mkoa wa Ruvuma ambao unapakana na nchi ya Msumbiji kupitia daraja la Mkenda Mto Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.