Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 150 kuanza ujenzi wa barabara ya lami nzito kutoka kijiji cha Ruanda Halmashauri ua Wilaya ya Mbinga hadi Bandari ya Ndumbi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa hivyo kuendelea kufunguliwa wilaya ya Nyasa katika sekta ya usafiri na usafirishaji.
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 12 kujenga bandari ya kimkakati ya Ndumbi katika ziwa Nyasa,mradi huo umekamilkika kwa asilimia 100,pia serikal;i imetenga shilingi bilioni 85 kuanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay wilayani Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.