KIONGOZI Wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Ndugu Abdalah Shaib Kaim ameridhia kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa daraja la Libango lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
Hata hivyo utekelezaji wa Ujenzi wa daraja tayari umefanyika katika awamu mbili zilizogharimu zaidi ya shilingi milioni 900 na kwamba awamu ya tatu ya ujenzi ambayo itagharimu shilingi milioni 300 unatarajia kufanyika katika mwaka wa fedha 2023/2024 hivyo kufanya mradi mzima hadi kukamilika kutumia zaidi ya shilingi bilioni moja
.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.