Serikali imetoa shilingi bilioni 80 kuanza utekelezaji wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambayo itakuwa kubwa kuliko zote katika ziwa Nyasa
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni miezi 24 .
Kanali Thomas amesema serikali pia ilitoa zaidi ya shilingi bilioni 12 kujenga bandari ya kisasa ya Ndumbi wilayani Nyasa ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.