BWAWA la Chengena lililopo kilometa chache kutoka mjini Namtumbo mkoani Ruvuma ni kivutio kipya cha Utalii ambacho kinamwezesha mtalii kufanya utalii wa kuogolea,kuvua samiki,kutembea na boti,kupiga picha pamoja na kupata upepo mwanana kama wa ziwa Nyasa.
Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Mheshimiwa Ngollo Malenya alipotembelea bwawa la Chengena ambapo amesema wananchi wa Namtumbo,Mkoa wa Ruvuma na Taifa kwa ujumla wataanza kufanya utalii wa ndani katika bwawa hili kuanzia Septemba 22 mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.