Kulia pichani ni Mkuu wa Wilaya Tunduru Mheshimiwa Julius Mtatiro akizungumza na baadhi ya wanafunzi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika kijiji cha Nangunguru Kata ya Nandembo
Mheshimiwa Mtatiro alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwenye maadhimisho hayo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.