Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile ameitaka jamii kuacha kuwanyanyapa watu wenye Ualbino kwani wana haki sawa kama watu wengine
Wito huo ameuto alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kwenye halfa ya uzinduzi wa Kliniki ya kudhibiti na kutibu saratani kwa Watu wenye ulemavu wa ngozi(albino) iliyofanyika hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Songea
Ndile amesema watu wenye Ualbino wanapitia changamoto nyingi ikiwemo fikra potofu ya baadhi ya watu katika jamii kuwanyanyapa kutokana rangi ya ngozi zao pia ameeleza kuwa wapo hatarini kupata saratani ambayo usababishwa kuungua na jua ambapo usababisha vidonda vya saratani iwapo wasipo tumia mafuta yakujikinga na miozi ya jua.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.