• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

DHAMIRA ya Rais Samia kujenga chuo kikuu Songea kuanza kutekelezwa

Imewekwa kuanzia tarehe: March 9th, 2025

Meneja wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Songea, Dkt. Bakari Mashaka, amesema wanatarajia kuanza mradi mkubwa wa ujenzi wa chuo kitakachokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 10,000 wa kozi mbalimbali katika kata ya shule ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

 Dkt. Bakari Mashaka amebainisha kuwa chuo hicho kinaleta mradi Mkubwa wa bilioni 18.5 za Kitanzania ambazo ni fedha za Serikali kujenga Chuo Kikuu Katika Mtaa wa Pambazuko kata ya Tanga Manispaa ya Songea.

Amesema fedha hizo zimetolewa na serikali chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye amedhamiria kila Mkoa hapa nchini uwe na  Chuo Kikuu,hii ni ahadi ambayo aliitoa kwa wananchi na sasa anaitekeleza kwa vitendo kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma’’,alisema Dkt.Mashaka.

Amesema kwa sasa, IAA Kampasi ya Songea inatoa huduma zake kwenye jengo la TTCL, ghorofa ya pili, mjini Songea, na Kozi zinazotolewa ni diploma ya Usimamizi wa Biashara, Uhasibu na TEHAMA, Fedha na Benki, pamoja na masomo ya ngazi ya uzamili (Masters) katika fani za Biashara, Fedha, TEHAMA, Uongozi, na Usimamizi wa Rasilimali.

Dkt. Mashaka amesema kuwa chuo hicho kinalenga kuhakikisha wanafunzi wanajifunza kwa vitendo, hasa namna ya kuanzisha na kuendesha biashara ambapo ameeleza kuwa wanataka wanafunzi wao  wasitegemee ajira pekee, bali wawe na uwezo wa kujiajiri na kuendesha maisha yao.

Kwa upande wake, Afisa Uhusiano wa IAA Kampasi ya Songea, Nuru Meshack, ameelezea changamoto kubwa waliyoibaini katika Wilaya ya Songea ni wazazi wengi kuamini kuwa mtoto aliyepata daraja la nne hawezi kuendelea na masomo, hivyo amewahimiza wazazi na wanafunzi kuwa ufaulu wa D nne, isipokuwa kwa masomo ya dini, unaruhusu mwanafunzi kujiunga na chuo.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa uhuru wazindua jengo la EMD Peramiho

    May 10, 2025
  • MWENGE wa uhuru waingia Pers

    May 10, 2025
  • KIONGOZI mwenge wa Uhuru aonya rushwa kwenye uchaguzi

    May 10, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.