KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali LAAC ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Mbunge wa viti maalumu Mhe, Halima Mdee walipofanya ziara hivi karibuni ya kutembelea na kukagua mradi wa bwalo la chakula katika Sekondari ya Dkt Emmanueli Nchimbi High School iliyopo Manispaa ya Songea,ambapo ujenzi wake umegharimu shilingi milioni 165
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.