Serikali imetoa fedha kiasi cha Shilingi milioni 120 za ujenzi wa madarasa 6 katika Shule ya sekondari Lizaboni iliyopo kata ya mji mwema Halmashauri ya Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma
Ujenzi wa madarasa hayo sita umefika hatua za mwisho ambapo mkandarasi aweze kuyakabidhi na yaanze kutumika ifikapo mwaka 2023
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.