Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimkabidhi Tuzo Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa,Songea Dr.Magafy Majura iliyotolewa na wanawake wa Mkoa wa Ruvuma kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani sherehe ambazo kimkoa zimefanyika katika viwanja wa CCM wilayani Mbinga
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimkabidhi Tuzo Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma,tuzo hiyo imetolewa na wanawake wa Mkoa wa Ruvuma kwa kutambua mchango wake kwa wanawake
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.