Mto Ruvuma ni miongoni mwa mito maarufu barani Afrika na duniani kwa ujumla wake.Chanzo cha mto huo kipo Manispaa ya Songea katika msitu wa serikali uliopo katika milima ya Matogoro.
Mto Ruvuma unamwaga maji yake katika Bahari ya Hindi kwenye eneo la kati ya Mtwara nchini Tanzania na Rasi ya Delgado nchini Msumbiji.
Chanzo hicho adimu kilichopo katika Manispaa ya Songea katika msitu mnene wa Matogoro unaovutia ni kivutio adimu na cha kipekee cha utalii katika Manispaa ya Songea ambacho kinavutia wengi wanaotembelea hapo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.