KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Halima Mdee imekamilisha ziara ya siku 18 kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika mwaka wa fedha 2020/2021 katika Halmashauri tisa zilizopo kwenye mikoa minne ya Dar es salaam,Lindi,Mtwara na Ruvuma .Kamati hiyo imekamilisha ziara hiyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Pamoja na mambo mengine kamati hiyo kupitia Mwenyekiti wake Mheshimiwa Halima Mdee imeiagiza Ofisi ya Rais TAMISEMI kuimarisha Kitengo cha Usimamizi na Ufuatiliaji kwenye mikoa ili miradi itekelezwe kikamilifu kuanzia katika hatua za awali badala ya kusubiri makosa
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=F6Dkae41sS8&t=1s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.