JENGO LA WODI YA WAZAZI KITUO CHA AFYA LIGERA LIVUNJWEKamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imeagiza jengo la wodi ya wazazi katika kituo cha Afya Kata ya Ligera Halmashauri ya Namtumbo livunjwe kutokana na ujenzi wake kuwa chini ya kiwango.Mwenyekiti wa Kamati hiyo Komred Oddo Mwisho akizungumza baada ya kutembelea na kukagua mradi wa Kituo cha Afya Ligera unaogharimu shilingi 500,Komred Mwisho amesema Kamati haijaridhishwa na ujenzi wa wodi hiyo na mradi mzima ambao umechelewa kukamilika .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.