Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho akizungumza na mafundi wa mradi wa ujenzi wa vyumba kumi vya madarasa,mabweni manne na vyoo matundu 15 katika shule ya sekondari Pamoja Wilaya ya Namtumbo ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 900 kutekeleza mradi huo.
Kamati ya Siasa Mkoa imeridhishwa na utekelezaji wa mradi huo ambao unaendana na thamani ya fedha zilizotolewa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.