Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akipanda mti kwenye uzinduzi wa upandaji miti ngazi ya Mkoa wa Ruvuma katika viwanja wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea eneo ;a Mwengemshindo Manispaa ya Songea ,ambapo mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mohamed Ally akipanda mti kwenye viunga vya kituo cha Afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea kwenye uzinduzi wa upandaji miti ngazi ya Mkoa wa Ruvuma ambapo Mkoa umedhamiria kupanda miti zaidi ya milioni sita.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.