Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amezindua rasmi mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA Mkoa wa Ruvuma,uzinduzi ambao umefanyika katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Jumla ya wanafunzi 658 kutoka Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma wanashiriki mashindano hayo ili kuunda timu ya Mkoa wa Ruvuma yenye wanafunzi 120 ambayo itakwenda kwenye mashindano ya kitaifa mkoani Tabora
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.