MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Serikali inaendelea kusambaza mbolea katika mkoa wa Ruvuma hivyo amewataka wananchi wapuuze habari za uzushi zinazotolewa na baadhi ya watu.
“Nataka ni wahakikishie serikali inaendelea kusambaza mbolea katika Mkoa wetu tuachane na habari za uongo na uzushi dhidi ya mbolea, mbolea hipo na inakuja kwa wingi kilimo hakina siasa wala majungu mkoa wa Ruvuma ni mkoa wa kilimo”alisema Kanali Thomas.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.