MOJA ya kivutio cha utalii ambacho hakifahamiki na wengi licha ya kuwa na vivutio lukuki vya utalii ni kisiwa maarufu cha Folkland kilichopo Lituhi wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Kisiwa hiki kina mengi ya kuvutia yakiwemo maingilio ya mto Ruhuhu katika ziwa Nyasa.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=WjUQVqbq6gQ&t=43s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.