Muonekano wa sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Parangu Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Hii ni moja ya sekondari za mfano katika Mkoa wa Ruvuma . serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeweka uwekezaji mkubwa katika sekondari hii yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.