Muonekano wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma iliyojengwa katika kijiji cha Mpitimbi.Kukamilika kwa mradi huu kumepunguza changamoto ya wananchi wa eneo hilo kusafiri umbali mrefu hadi hospitali ya Misheni Peramiho au hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea kufuata huduma za matibabu.Hongera serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwasogezea wananchi huduma hiyo muhimu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.