Muonekano wa sekondari mpya Kata ya Tuwemacho Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa fedha za kutekeleza mradi wa sekondari hiyo kupitia Programu ya Uboreshaji wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) ambapo sekondari hiyo imekamilika na kuanza kutoa elimu ya sekondari kwa wanafunzi wa Kata hiyo ambao walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata elimu ya sekondari.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.