Muonekano wa hospitali ya Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka uwekezaji mkubwa katika miundombonu ya majengo ya hospitali hii na ununuzi wa vifaa tiba hali iliyosababisha wananchi kupata huduma za afya hivyo kupunguza gharama na kero ya kusafiri umbali mrefu kwenda kufuata huduma za afya,hongera Mbunge wa jimbo la Madaba Dkt.Joseph ,Mhagama kwa kusimamia mradi huu ambao umeanza kuwanufaisha wananchi wa Madaba.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.