Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma inatarajia kufanya tamasha kubwa la kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo wilayani humo ambalo linafanyika kwa siku mbili Septemba 21 hadi 22 mwaka huu.Moja ya fursa kubwa za uwekezaji zilizopo wilayani humo ni sekta ya utalii,likiwemo bwawa la viboko linalojulikana kama bwawa la viboko ni kivutio muhimu cha utalii
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.