MABALOZI wanaoziwakilisha nchini mbalimbali na Taasisi mbalimbali za kimataifa wameridhishwa na uwazi nwa serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na Rais wa Awamu ya Sita Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na kuahidi kuzidisha ushirikiano wao katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.SOMA habari kwa kina hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-07-1360ed10244c91d.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.