Mama kiroba aliyebeba mihogo akiwa katika Banda la Halmashauri ya Nyasa lililopo kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya John Mwangakale jijini Mbeya .Kulia ni Mkuu wa Divisheni ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Nyasa Bw.Pasifiki Mhampa .
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Hairu Hemed Musa, akiwa katika banda la Halmashauri,ameweza kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na wataalamu wa Halmashauri hiyo katika sekta za Kilimo, uvuvi na ufugaji pia aliweza kuzungumza na wajasiriamali wanao onesha bidhaa zao katika banda hilo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.