Kampeni ya upandaji miti ya matunda kila tarehe 19 ya kila mwezi inaendele kupamba moto katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma. ili kuhakikisha shule na Taasisi za serikali zinapanda miti miti ya matunda kwa wingi.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas akimkabidhi mishe ya Matunda aina ya Miparachichi kwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhshimiwa Kapenjama Ndile na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Madaba Maternus Ndumbaro katika Kijiji cha Lilondo Kata ya Wino Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Pamoja na mambo menginie Mkuu wa Mkoa amewashauri wananchi wahakikishe wanapanda miti ya Matunda katika maeneo ya shule na kwenye makazi yao ili wanafunzi wajipatie mlo kamili na kuweza kutokomeza udumavu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.