Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel amewaongoza maelfu ya wananchi waliojitokeza katika kanisa la Abasia ya Peramiho Songea mkoani Ruvuma kwenye sherehe za kusimikwa kwa Abate mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB .
Dr. Mollel amemwakilisha Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Mhagama .Adhimisho la Misa takatifu ya kusimikwa na kumbariki Abate mpya wa Peramiho imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea Mhashamu Damian Dallu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.