HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma inaendelea na utoaji wa mafunzo ya matumizi ya Mfumo mpya wa ununizi wa umma NeST kwa wakuu wa idara na Vitengo kwa lengo la kuboresha utendaji wa kazi.
Serikali imeridhia kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa ununuzi wa umma kuanzia Julai Mosi mwaka huu na rasmi mfumo huo unaanza kutumika rasmi nchin i kote kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.