Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussen Bashe (amevaa kofia) akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Dkt, Julius Keneth Ningu (suti ya bluu) akionyeshwa baadhi ya aina ya Mbegu zilizopandwa katika shamba la uzalishaji mbegu za kilimo wakati alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni wilayani umo ya kutembelea na kukagua shamba la uzalishaji mbegu za kiliomo lenye ukubwa wa hekta 3000 ambalo linasimamiwa na Wakala wa Taifa wa Mbegu (ASA)
Ruvuma ni mkoa wa Kilimo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.