MBUNGE Jimbo la Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Mhe.Joseph Mhagama ametembelea na kukagua mradi wa Maji katika Kijiji cha Ngadinda Kata ya Gumbiro Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Mhandisi wa RUWASA Wilaya ya Songea Mhandisi Sheila Kimweli akisoma taarifa katika ziara ya Mbunge iliyojumuisha viongozi wa chama cha Mapinduzi amesema mradi huo unatekelezwa kwa zaidi ya shilingi bilioni Moja kwa kutumia force account.
Mbunge wa Jimbo hilo amewashukuru wananchi kwa ufuatiliaji wa mradi huo na RUWASA ambao unakwenda kupunguza kero ya maji jimboni humo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.