MBUNGE wa Jimbo la Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Dkt. Joseph Mhagama ameweka umeme wa jua katika shule mpya ya Sekondari Lilondo iliyopo kata ya Wino iliyojengwa kwa shilingi Milioni 560.
Akizungumza kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo hilo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Madaba Mheshimiwa Teofanes Mlelwa amesema umeme huo wa jua umewekwa kwa muda ikiwa jitihada za kupeleka umeme wa TANESCO zinafanyika ili kuhakikisha wanafunzi walioanza kidato cha kwanza mwaka huu 2024 wanasoma katika mazingira rafiki.
Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari Lilondo Subira Mapunda amemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo kwa msaada huo ambao utasaidia wanafunzi hao katika masomo yao
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.