KIKAO CHA MABORESHO YA MFUMO WA TOVUTI ZA SERIKALI KINAENDELEA HAPA SINGIDA
Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Mradi wa shule bora wameanza kufanya maboresho ya Mfumo wa tovuti za serikali za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Kikao hicho kinaendelea hapa kwenye hotel ya Anemity Paradise mjini Singida
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.