Naibu Waziri wa Maji Mhandisi maryprisca Mahundi amesema Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Kackson Kiswaga imekagua mradi wa maji Ngumbo unaogharimu shilingi bilioni 2.5 na kwamba mwezi ujao watahakikisha zinaongezwa shilingi milioni 200 kutatua changamoto ya vituo saba vya kuchotea maji kwenye mradi huo ili wananchi wapate maji kwa umbali usiozidi meta 400
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mheshimiwa Jackson Kiswaga akizungumza na wananchi wa kijiji cha Malungu Kata ya Tingi wilayani Nyasa baada ya kukagua mradi wa maji Malungu ambao serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kutekeleza mradi huo uliofikia asilimia 80.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.